"Saa nyingine ni vitu vidogo vidogo tu ndo vinavyotengeneza mshiko mkubwa kihisia, sifa moja ya akili au ishara ndogo tu inaweza kumshika kihisia mwanamke, vile vile ukitoa sifa mbaya ndo mwisho wako!."
kiumeni.com imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa vibaya na kupewa namba ya simu...
- Msifie kwa kitu kizuri...
- Muombe ushauri...
Ukiwa unaomba ushauri onyesha na wewe ulikua unafikiriaje juu ya hicho kitu au jambo ulilokua unaombea ushauri, na maswali yawe ya urahisi ambayo atatoa majibu kwa urahisi zaidi na hatimaye kuanzisha mazungumzo mengine.
- Msifie kwa jinsi anavyoonekana...
- Mfungulie mlango...
- Muulize maswali...
Ukimuuliza maswali juu ya maisha yake ya zamani na vitu anavyovipendelea utamfanya aongee kwa kujiamini zaidi, huku ukionyesha hamasa zako zipo sio tu kwa ajiri ya muonekano wake.
- Puuzia simu yako...
- Ongea na marafiki zake na jihusishe kwenye mazungumzo yao...
Wanawake huvutiwa na mwanaume mcheshi, anayependeka kwa urahisi na ni mtu wa kijamii, kwa hio jiingize kwenye maongezi na rafiki zake na ukiweza kuwavutia rafiki zake, utakua umemvutia na yeye pia, hakikisha kipindi chote cha maongezi, uwe umeweka wazi kwamba yeye ndio vutio lako kubwa.
- Kuwa katika hali ya usafi na uvaaji mzuri na wakupendeza...
Hembu fikiria wewe unawatathimini wao kwa muonekano, kwa nini na wao wasifanye hivyo vivyo?.
- Mwangalie machoni...
Post a Comment