SMS MAPENZI : NAOMBA UWE WANGU TU




Ewe nikupendae mapenzi yangu kwako kila siku uwaka moto, najikuta kama mgonjwa wa mapenzi kwa ajili yako. furaha yangu ni kukuona ukifurahi na kutabasamu katika penzi letu, na uwe wangu peke yangu nikupe raha peke yako

Post a Comment

Previous Post Next Post