Penzi lang kwako halina mfano ila zaid jinsi unipendavyo nakosa majibu ya kueleza hakika sihtaji kushare mapenzi na mtu mwingine yeyote umekuwa kwangu furaha na kicheko, umekuwa kwangu tabasamu na bashasha, raha yangu imeongezeka napokuwa na wewe, utulivu tuli niwapo nawe.NAKUPENDA
copy and send to your love,
Post a Comment