Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA
Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako ... sana na kwa kuwa sipendi kukuumiza naomba niseme moja tu .asubuhi njema. *
Post a Comment