SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAHABA

 

Related imageT.gifSMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali

Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,
mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi
nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumtumia msichana umpendaye kumwambia kuwa utampenda daima

nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyo
wangu
mahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendo
lkn kwa msamaha wa raisi mapenzi
nmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapo
daima milele.
nakupenda mpz

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa mapenzi kwa umpendaye akupende zaidi

Moyo wng mtiifu,2li ume2a kwako,kwang huna upungufu yote nimekupa hekoo,utunze na ulee pia uujali kama mama yako alivyofanya kwako.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe mzuri wa kumuomba mpenzi wako asikuache

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako

Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyo
wangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu ni
machozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozini
haitochuruzika ila mishipani… .

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri kwa mpenzi wako kumwambia kuwa ameitibu akili yako

Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akili
yangu.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumtumia mpenzi wako aliyesahau kuwasiliana na wewe kumkumbusha awasiliane na wewe

Ni yangu mazoea kila cku cm yako
kuipokea kama si meseji
kunitumia
leo naumia kila napo fikiria nini
kimetokea hadi
mawasiliano yetu
yameanza kupotea,sawa tu.naamini hali
ya kawida itarejea
na
majonzi moyoni yatanipotea
nakupenda mpz

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri kwa ajili ya kumtumia mpenzi wako kumwambia sababu ya kumpenda

mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni
ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi
ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali.

🔥♥♥♥

Post a Comment

Previous Post Next Post