sms tamu ya usiku mwema

SMS TAMU ZA USIKU MWEMA – My Blog

 Kutokana na kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1. Umeshika simu yako ya mkononi.
2. Unasoma hii habari.
3. Wewe ni binadamu hai kabisa.
4. Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.
5. Ha ha ha nakuona umejaribu kusema neno PIPI.
7. Unajicheka mwenyewe.
8. Nimeona meno yako.
9. Unatabasamu!
10. Umeruka namba 6.
11. Ha ha ha ha unacheki kama kuna namba 6.
12. Umetabasamu!

....Nilipe gharama ya utabiri .UCK MWEMA

Post a Comment

Previous Post Next Post