Sms za asubuhi njema



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8IGHHKsT32G-BM-dVFsap3XOv4f1MVqWDRqen9HjYVb9NmbJN7UpgCy5NWMMo-cpklfubGVmcHvoLoaKK_X8UZfXKEDryxuJTk8hoV3yvvQ7XgbRCd3BXQfCJC04XmBIjBBO2jrveak_x/s1600/Love-Couple-Wallpaper.jpgroho yangu haina furaha sababu ya UKIMYA Wako
nafsi yangu haina raha kukosa SAUTI Yako mpenzi moyoni nasononeka kwa kukosa SALAMU Yako hakika nitafurahika nikiijua yako HALI Mpenzi.



Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo huhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako, nakupenda mpenzi.
*°·.¸¸.°    °·.¸¸.°*

Post a Comment

Previous Post Next Post