SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO



TUJIFUNZE THAMANI YA MSAMAHA KATIKA MAPENZI. - Kijukuu Cha Bibi K ...
Kina ninapokukumbuka machozi yanidondoka, hivi leo mwana wa mwenzio ninaumbuka kwa kuparamia mapenzi kwa pupa, ukweli nakupa, hivi sasa najuta! Nisamehe mpenzi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana, pokea busu mwanana....mwaaaaaaaa...

Post a Comment

Previous Post Next Post