Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
mchana mwema.!!!!!!!!!!!!!!
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
mchana mwema.!!!!!!!!!!!!!!
Nakupenda mpenzi W nafasi uliyotawala moyoni mwangu ni
kubwa, hakuna ambaye anaweza kufikia uhodari wako, wewe ni
mtu muhimu sana maishani mwangu,mchana mwema!!!!!!!!!!!!!!!!!
kubwa, hakuna ambaye anaweza kufikia uhodari wako, wewe ni
mtu muhimu sana maishani mwangu,mchana mwema!!!!!!!!!!!!!!!!!
Post a Comment