MCHANA MWEMA MPENZI.

SMS – Page 2 – My Blog

sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia
moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
       •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•




mapenzi si pombe  lkn yanalewesha, wala si kidonda  lakini
yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala  si
njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa
unaempenda




      •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni
maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni
kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe
maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu
 

Post a Comment

Previous Post Next Post