I"m feeling so happy. Do u know why? Coz i*m so lucky, Do u know how? Coz God loves me, Do u know how? Coz have gave me a gift, Do u know what? It*s you my love...I LOVE YOU mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
*%~~~%~~~%~~~%~~~%~~~%~~~%*
Mapenzi c pombe lakini yanalewesha,,,wala c dawa lakini yanaponyesha,,,wala c maradhi lakini yanaua,,,wala c kifo lakini yanaliza,,,wala c katuni lakini yanafulaisha,,,wala c fimbo lakina yanaumiza. Ni mimi tu mwenye mapenzi ya kweli kwako.....!!! NAKUPENDA LAAZIZ WANGU.
$*~~~*~~~*~~~*~~~*~~~*~~~*$
Post a Comment