ASUBUHI NJEMA MY

 Jua jembamba limechomoza, moyoni nakuwaza, ndotoni umenigalagaza, hakika wewe ndio wangu mwangaza, usiku kucha nimekuwaza, je, u hali gani?




 Hakika moyo ukipenda inakuwa vigumu kuuzuia, kila nikuonapo rohoni naumia, mapigo ya moyo yanienda mbio, hutamani tuwe ulingoni, ujuzi tuoneshane pasipo na soni! Nakupenda mpenzi


Post a Comment

Previous Post Next Post