Kiza kimeingia, hofu inaniingia, usingizi waninyatia, kulala nahofia, ulipo wataniibia, mpenzi tambua nakupenda toka moyoni, lala unono, hakikisha tunakutana ndotoni! Usiku mwema luv u.
Raha ya upele upate mkunaji, utamu wa mtori upate anayejua kupekecha, raha ya penzi mpe anayejua kupenda! Mwenyewe nimekupenda unayejua kupenda, nakupenda ma luv.
Post a Comment