MESSAGE TAAMU ZA MAPENZI HAKIKA UTAZIPENDA..

 

Raha ya upele upate mkunaji, utamu wa mtori upate anayejua kupekecha, raha ya penzi mpe anayejua kupenda! Mwenyewe nimekupenda unayejua kupenda, nakupenda ma luv.

Mpenzi najua mengi umeambiwa, shuruti roho inakuenda mbio, tafadhali punguza wasi niamini mwana wa mwenzio, usiye waamini, ukanimwaga mwenzio sina kimbilio.

 Watu hufanya ubahili katika pesa, si katika mapenzi la azizi, sielewi kwa nini umeadimika siku hizi, si sms, simu jamani hata beep sizipati siku hizi! Nakupenda sijui kwa nini umedadilika siku hizi.







Post a Comment

Previous Post Next Post