MTAKIE USIKU MWEMA KWA MSG HIZI TAMU.

 





Hakika mtoto umeumbika mithiri ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume alie umbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka naomba japo yako dakika nipate kukueleza yamoyoni jinsi yalivyo nifika kwani siwezi tena kuficha jinsi ninavyo kupenda nakupenda amini kwako nimefika

+++++++++++++++++++++++

Nimezunguuka pande zote za Tanzania macho nimeangaza kusaka mrembo wa kumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeniteka yangu nafsi nakupenda sweet

Post a Comment

Previous Post Next Post