Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda
jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa naongea
nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION
atajua kuwa nampenda yaan nahic kama niko kwny CIRCLE
kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX .
Nafikir ushamjua kwan shep yake
ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!!
Chezea
…………………………..
Katu si kila rafiki ni msafi
wa moyo. Wengine ni wanafiki
wanakuonea choyo. Hutamani
ufariki wachukuwe upendayo.
Hawa hawafadhiliki husda ni
kazi yao, kila unachomiliki
hutamani
kiwe chao. lau kama husadiki
jaribu kukaa nao.Mchana mwema.
……………………..
Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
amechoka mpe “POLE” ukimkuta mpweke”MLIWAZE” ukimkuta
anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu “MTATULIE”
……………………….
Post a Comment