SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema.

 Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA 


Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao



Post a Comment

Previous Post Next Post