SMS Za Asubuhi Kwa Mpenzi wako.

 




Uzuri Wa Asubuhi Si Weupe Ila Uzuri Wa Siku Yangu Ni Wewe @Mpenzi Hasa @Nikumbukapo@ Kumbato@ Lako Huwa @Nahisi @Unapapasa Mwili@ Wangu @Ndo Maana @Mwili Wangu@ Kila @Nikumbukapo #Penzi "Lako "Huwa Unasisimuka "Uwe Na Siku "Njema" #Lazizi One Love  

 Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!


Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.

Post a Comment

أحدث أقدم