Usiku mwema my love.

 Hongera umezawadiwa safari ya kwenda KULALA  iliyoandaliwa na shirika la USIKU na kudhaminiwa na kampuni ya USINGIZI utapanda gari aina ya KITANDA lenye namba za usajili NJOZI NJEMA ukiwa safarini unashauriwa kufunga mkanda aina ya NETI au SHUKA ili kujikinga na AJALI ya   MALARIA.Pia usikose kupulizia dawa. 

…………………… 

Kutokana na kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako: 

1. Umeshika simu yako ya mkononi. 

2. Unasoma hii habari. 

3. Wewe ni binadamu hai kabisa. 

4. Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo. 

5. Ha ha ha nakuona umejaribu kusema neno PIPI. 

7. Unajicheka mwenyewe. 

8. Nimeona meno yako. 

9. Unatabasamu! 

10. Umeruka namba 6. 

11. Ha ha ha ha unacheki kama kuna namba 6. 

12. Umetabasamu! 


….Nilipe gharama ya utabiri .UCK MWEMA.
















Post a Comment

Previous Post Next Post