SMS nzuri za kumtumia mpenzi wako ili akupende daima.

 . Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu, unipapasapo huhisi kupoteza fahamu, maneno yako matamu hunizidisha hamu, hakika wajua kunikamua, luv u.

. Kuwa nawe najivunia, mtoto mapenzi wayajua, kiuno, sauti yako tamu mithili ya chiriki wajua hasa kuitumia, mua wangu wajua kuukamua, ukiniacha jua nitaumia, nakupenda usije niacha nitajiua!

. Mambo yako adimu ndiyo yanayonipa wazimu, nikuonapo hupatwa hamu, hutamani unipatiye wako utamu, la azizini lini utakuja kunitoa hamu, hakika nimemiss wako utamu na kwa kuupata sifahamu maana ni wewe tu ndiyo mtaalamu. Miss u







Post a Comment

Previous Post Next Post