usiku mwema mpenzi

 






"UPENDO" ni kawaida yangu                                                                                                                            

 "CHUKI" SI busara kwangu, "KUISHI" 

Na watu vizuri ni sehemu ya maisha yangu, 

kuwasalimu niwapendao ni hulka yangu.. Gd9t

........................

  Mimi si Milionea, ila TAJIRI 

wa MOYO MKUNJUFU!

Mie si zaidi,

 ila nafanya NIWEZALO!

Sifanyi 

sahihi kwa kila jambo,ila kwa hili

 nipo sahihi Kukutakia usiku mwema.

................................

Neno "USIKU MWEMA" halimaanishi kuwa ni MWISHO wa siku, bali ni njia ya kuonyesha kuwa nakukumbuka, nakujal, nakuthamin, nakupenda na kukuombea kabla SIJALALA! Nadhani utatambua una THAMANI gani kwangu!! ... Nakutakia USIKU MWEMA!na njozi nzuuuuuuri!! Lala xalama

.....................

 Usiku Ni "utulivu"

Usiku Ni "mzuri"

Usiku Ni"upole"

Usiku Ni "kimya"

Lakini Usiku 

Haujakamilika

Bila..Kukutakia 

Wewe..

U

S

K

U=m=w=e=m=a!

........................

Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.

Hodiiiiii, Hodiiiii,

Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO.

Post a Comment

Previous Post Next Post