CHAGUA SMS NZURI KATI YA ZIFUATAZO, KISHA MTUMIE MPENZI WAKO..

Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!


*****









 Hakuna atakayetutenganisha mpenzi wangu, ingawa wanafiki wanasema mengi, weka masikio yako pamba, achana nao wana vivu hao!

*****

My heart for you will never break. My smile for you will never fade. My love for you will never end. I love you!

*****

Kama nikiambiwa niweke rekodi ya watu muhimu katika maisha yangu duniani, kwenye tatu bora utakuwepo, kwanza wazazi wangu halafu wewe unafuatia, nakupenda dear!

*****


Post a Comment

أحدث أقدم