Vitu 8 muhimu ambavyo mwanamke huzingatia anapokutana na mwanamume kwa mara ya kwanza.

Kwa mara ya kwanza wanawake wamefungua roho na kueleza kuhusu baadhi ya vitu ambavyo wao haviangalia kwa mwanamme wanapokutana kwa mara ya kwanza Suala la kuchumbiana limekuwa na utata zaidi kwa wanaume licha ya kuwepo vitabu vingi kuhusu mahusiano. 

Jaridala TUKO.co.ke walichukua fursa maalum kutafiti kuhusu wanachohitaji wanadada kutoka kwa wanaume. Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/262457-vitu-8-muhimu-ambavyo-mwanamke-huzingatia-anapokutana-na-mwanamume-kwa-mara.html

1.Harufu:

 Mwanamme anayenukia hupata asilimia kubwa hata kabla kutamka neno.

 2.Mshipi na aina ya kiatu Habari Nyingine:

 Mshipi wako na kiatu humvutia ama kumchukiza mwanamke mara ya kwanza anapokuona.

 3.Kimo: 

Ni kweli kwamba mwanamke huzingatia pakubwa kimo cha mwamme kwa asilimia kubwa katika kufanya uamuzi wake.

 4.Meno: 

Tabasamu hutoa nafasi kuyafunua meno yako. Kila mume anapaswa kuyatunza meno yake vizuri kuepuka harufu mbaya na aibu. 

 5.Lugha: 

Wanadada huwapenda wanaume ambao huweza kuzungumza kizungu kizuri bila kuboronga sarufi wala kujichanganya.

 6.Ujasiri: 

Mwanamme anayetongoza mwanamke akiwa jasiri huwa nafasi ya juu zaidi kufanikiwa bila tatizo.

 7.Umbo:


 Wanawake huvutiwa na wanaume ambao wana umbo zuri.

 8.Rangi ya mwili:

 Mwanamke huzingatia rangi ya mwanamme kabla kulikubali ombi la uhusiano.

Post a Comment

أحدث أقدم