Nakupenda peke ako

Ndoa yenye amani, furaha, upendo na mshikamano huboreshwa na watu wawili na wenye mapenzi ya kweli dhidi yao, japo wamepitia changamoto nyingi lakini walijitahidi kuziepuka mpaka sasa wamepiga hatua katika mahusiano yao, mpenzi wangu mapenzi ya kweli ni kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kutoka moyoni please naomba tupendane ili tufikie yetu malengo, nakupenda sana💘💗💋💚💙💞



Ewe wangu wa moyo nani atakae nipa joto usiku wa Leo; nahis barid ya mahaba my njoo wangu wa moyo unifunike na ubawa wako. Penzi lako ndo kila kitu kwangu 

Maisha yangu nimeyakabidh kwako 

Huu WAP hab Wang bila wewe usingizi sipati 

I love you my sweet heat baby mwaaaaaaaaaa

Nakupenda peke



Post a Comment

أحدث أقدم