SMS TAMU

 


Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe

Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sana kwangu, pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA pia nakuomba unisamehe pale nilipokukosea.
Hivyo nami nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU;
1. RADHI ZAKE
2. HAIBA KWA WATU
3. MAFANIKIO MEMA. "asante sana"




Post a Comment

Previous Post Next Post