SmS za kimahaba za kumtakia mpenzi wako Asubuhi njema

 


hi baby mambo


nakupenda sana yaan kiac kwamba nikikutomasa haifai,nikikukic haifai na nikikumbatia haifai,ila kuna jambo moja 2 umesahau kunitimizia ,itmze raha nayotaka je n jambo gan?.asubuhi njema

*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Asubuhi imefika ni muda wa kujiandaa na pilika, lakini kazini ukifika isisahau

kutumia japo nusu dakika rafiki zako salamu kuwapa, swawabu utapata! Asubuhi

njema.

Post a Comment

أحدث أقدم