KABLA HUJALALA MTUMIE MSG HIZI

 Mapenzi ni matamu na pia yanaraha wewe hauniishi hamu sikuzote raha wanipatia wewe kwangu ni mtu muhimu unayeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaa NAKUOMBA USINIACHE MPENZI

######################

wewe ni wapekee ninaye kupenda sifikirii kukusaliti na wala sina wazo La kukutenda nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu




Post a Comment

أحدث أقدم