Nakupendaa sana Dear

 

Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likitumiwa vibaya halina maana wala thamani. Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu linatokea bila kujua na halina sababu. Neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja japo tupo Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear”

Post a Comment

أحدث أقدم