SMS NZURI YA HAPPY BIRTHDAY KWA MPENZI WAKO

 Hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.Happy Birthday mpenz  

Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi
 akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,
 pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,
 nakupenda la azizi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
 



Post a Comment

Previous Post Next Post