Nakupenda wa ubani..


*Utakutana na mmsichana mzuri kuliko mimi ana akili kuliko mimi na mcheshi kuliko mimi lakini       huwezi kupata msichana kama mimi,

*Pesa haiwezi kununua furaha lakini inaweza kukusaidia kuitafuta kwa haraka katika kibadilishaji.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post