Nisamehe mpenzi wangu.

Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka, hivi leo mwana wa mwenzio ninaumbuka kwa kuparamia mapenzi kwa pupa, ukweli nakupa, hivi sasa najuta! Nisamehe mpenzi.


Siamini kilichotokea, hakika nimekukosea, lakini naapa katu sitorudia, upuuzi niliokufanyia, najua jinsi gani waumia ndiyo maana umeninunia, nisamehe mpenzi nafsi yangu ipate kutulia kwani bila wewe sina thamani katika hii dunia!





Post a Comment

Previous Post Next Post