Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala sibadiliki hilo kwangu ni muhali, si kmsikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu sirafiki ni ndugu nnaekujali
………
Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona huniondoka machungu tabia zakomwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona mwambie ww ni wangu
…….
Post a Comment