Nakupenda mpenzi wangu..

Lazima uwe mkimbiaji mzuri kwa sababu huwa unakimbia akilini mwangu lazima uwe mwizi mzuri kwa sababu umeiba moyo wangu na mimi huwa mpiga risasi mbaya kwa sababu I Miss You Always....

Wewe ni kama mwanga wa jua joto sana wewe ni kama sukari tamu sana ... unafanana na wewe ... na ndio sababu ninakupenda!... 

Post a Comment

Previous Post Next Post