Nakupenda mpenzi wangu.

 Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 

1/ KUNIJALI,

2/ UPENDO

3/ FURAHA

4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na  kufurahi sana.

……………………….

Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! Ni kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?

……………………..




Post a Comment

Previous Post Next Post