Uko wapi wangu malkia mwenzio hamu nasikia nawe ndiye ujuwae hamu kunitoa tafadhari dear upatapo sms hii tambua nyumbani nakusubiria.
Najua moyo wangu umekuchagua wewe na kukutumia zawadi hii ili uwelewe kwamba nakupenda sana nakujali zaidi nakudhamini kuliko nakutakia kila lakheri pamoja na dua njema SIKU NJEMA SWEET
Post a Comment