SMS KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA

 .💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako ,Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö,näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe

nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!

Nisamehe mpenzi wangu!

.💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,

naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe!  naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa shetani ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu! nimegundua nilikukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya,bora na mwaminifu,nisamehe mpenzi wangu naomba unipe nafasi nyingine katika moyo wako



Post a Comment

Previous Post Next Post