Mchana mwema mpenzi.

  

STORY NZURI

      YA UPENDO

Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba.  Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.

Masikini kumbe jike alifika tangu jana  kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!!

Jee…!! wewe, utamuonesha nini umpendaye  ili aone ni kiac gani.

Salamu ni moyo ktk “IMANI”. Salamu ni uhai ktk “UPENDO”. Salamu ni ufunguo wa “RIZIKI” salamu ni chakula cha “NAFSI” salamu ni “MSAMAHA” wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi” salamu huondosha “UADUI” Hakika salamu ni”UTAKASO” wa “NAFSI”. Nami nakupa wewe niliyekutunuku. *****MCHANA MWEMA!*****

…………………




Post a Comment

Previous Post Next Post