I iove you.

 Ukiniuliza ni mara ngapi umepita akilini mwangu, ningesema mara moja. Kwa sababu ulikuja hapa, na haujawahi kuondoka.

Maneno milioni moja hayatoshi kukuelezea, lakini nina maneno matatu tu kwako: Ninakupenda.



Post a Comment

Previous Post Next Post