Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia ucku mwema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daima atakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema.
Post a Comment