Njoo kwangu unacho taka nitakupa.

 Upendo sio tigo eti ongea kwa nusu shilingi wala sio voda kazi ni kwako, pia sio airtel jisikie huru bali upendo ni zawadi pekee sana mungu aliyoiweka ndani ya mioyo yetu.hili ni la kuzingatia dear nakupenda mpnz wangu.  

.................

Mpenzi wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua wewe ni mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu

  




 

Post a Comment

أحدث أقدم