Usiku mwema dear.

 Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako,Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

…………………

Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana GOOD NIGHT.





Post a Comment

أحدث أقدم