Usiku mwema dear;

 Ni kweli walivyosema wahenga kuwa moyo wa kupenda hauna subira. Ninavyokupenda mimi nataka niwe nawe wakati wote. Nilalapo na niamkapo, uwe karibu nami siku zote. Ni vigumu kungoja. Nikuote na nikuone. Wewe ndiwe nambari moja maishani mwangu.

 Ninapokufikiria najua lazima nikupeleka kwa mama. Ni waringie rafiki zangu kuwa nishapata wangu barafu ya moyo. Mke mwema hutoka kwa Mungu nami nashukuru Mola kwa kunipa wewe. Mke mrembo na mwenye tabia za kupendeza. 







Post a Comment

Previous Post Next Post