Mchana mwema dear



Hakikisho la mapenzi ….. Umengia moyoni mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana, wajua moyo huwa unafungunguliwa mara Moja hasa kwa Ile true love.

Njia inayokupeleka kwa mapenzi ni njia nyembamba ambaye wawili hawawezi kupitia lakini mkiwa moja inawezekana.

Post a Comment

Previous Post Next Post