Ingekuwa upendo unauzwa nisingekuuzia kamwe,ingekuwa pendo ni mwandiko ningeandika counte nzima,ingekuwa pendo ni wino hakika kalamu yangu isiyoisha,ingekuwa pendo ni kisima maji kisimani kwangu kwa ajili yasingekauka.nakupenda hny ………………………
Pendo ni mwandiko mzuri wenye vina ya kimapenzi,kwa utajo wake ni wenye kutamkwa vizuri,kwa uzuri wake hutufanya tupendane xana,acha nikupe mwandiko wangu nakuomba uuthamini. …………………….
Post a Comment