Ujumbe wa Mchana Mwema kwa npenzi wako.




Nikiwa na anga ya buluu juu ya kichwa changu na upepo wa utulivu ukinizunguka, kitu pekee ninachokosa kwa sasa ni kuwa na wewe. Nakutakia alasiri yenye kuburudisha!

 Wewe ndiye tiba ambayo ninahitaji kuchukua mara tatu kwa siku, asubuhi, usiku na alasiri. nakumiss Habari za mchana!


Post a Comment

Previous Post Next Post