Mchana mwema dear.

Ahsante mpz kwa kujua thaman yangu kwako,nashukuruumegundua hisia zangu mapema naomba unipe hifadh ya kudumu ndani ya wigo wa mtima wako.

*°·° ♥ °°*

Nakupenda zaidi ya Armasi inayo chimbwa ardhin,sipendinikupoteze nikajutia Moyoni,naitaji nikuenzi,km mboni yng machoni.





Post a Comment

أحدث أقدم