Nakupenda mpenzi.

 Upendo ni tiba maradhi hukimbia, salamu ni shiba buriani yazidiwa, kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kukusalimia. Usiku mwema kipenzi cha Moyo wangu.

Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, ni vingi umejaliwa vinavyouvutia Moyo wangu. Ama hakika uzuri wako umethibiti matamanio yangu. SINTOPENDA MTU MWINGINE ZAIDI YAKO.


 



Post a Comment

Previous Post Next Post