#BARUA_KWA_GEOGINA


>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hello Geogina,
💖Salamu za upendo zitue kwenye moyo wako💖. Hope uko salama salimin. 💖Geogina, Safari hii nimekuja kama ujumbe,💖 ukinisoma utaisi ni nafsi kama si maneno.💖 Geogina, kwenye dunia hakuna amani bila ya upendo, 💖hakuna maisha bila ya upendo.💖 hakuna furaha bila ya upendo pia hakuna raha bila ya kuwa na upendo💖, kinyume chake utakua m2 mwe huzuni maishani mwako yote.💖
💓Geogin, Kwenye macho yangu nimeona dhahabu,💓 nimeona almasi pia nimeona shaba lakini moyo wangu umeridhika na chuma. 💓Geogin,💓 siku zote "ukificha ya rohoni utakuja kufa kibudu" 💓. Geogin💓, wewe ni mwanamke ambae ulie ziteka hisia zangu,💓 Nikuonapo moyo unanidunda kwa mshtuko kwa presha💓, nawaza na kuwazua juu yako💓, naumia juu ya uzuri wako.💓 Sijawahi ona yeyote anae ukaribia uzuri wako💓. Geogin, kiufupi mimi ni mgema wa asali hivyo nime vutiwa na mzinga wako. 💓Geogin nitafurah💓, kama utanikubalia kinyume chake nitazidi kuumia ....nategemea jibu langu sasa hivi....I love you mwaaaaaaa..... Mrembo.💓
From: Young smart njoine.
May be an image of 3 people, people standing, headscarf and outdoors

Post a Comment

أحدث أقدم