#SWEETY_HEART.............


..................................................................
🌹Natambua kuwa moyo wako huwezi kupenda mwengine kama ulivyo nipenda mimi, 🌹Nakua kuwa hisia zako hazimuamini yeyote zaidi yangu mimi, 🌹Ndomana ukawa tayari kunionesha mwili wako ili iridhike roho yangu mimi.🌹 Ulikua tayari kwa lolote hata nitake nini.🌹 Kuna muda unanionea huruma
💓Leo zamu yangu wacha na mimi nikupende,💓 Ulie ziteka hisia zangu barafu wa moyo wangu acha kwako2 nigande💓, Kimya changubhakimaanishi nakudharau bali nakutafutia tonge, 💓hakika umenifanyia mambo mengi kipenzi why leo nisitambe,💗 Umenifundisha mazuri na kunikanya mabaya asante sana my beby.💗 I love u my sweety, 💗i want you my cute💗, forever me & you my prety..💓Mwaaaaaaa.......shavu la kulia my darling.💗
WT: "s m a r t n j o i n e"




Post a Comment

أحدث أقدم