*******""""""*****""""""***********
Mpenzi leo siwezi kulala bila kusikia sauti yako. Nashauku mwanana kuambiwa usiku mwema na kinywa chako, Ama imeandikwa kwa sms yko. Ukweli leo mpenzi nime miss Sana Joto mako. Nimemis kumbato lako. Mahqbq Matamu unayonipa wanidatisha mwenzako. Leo nimekumbuka Mbali Sana nikiwa Napasa naniliu y'ako. Oky mpenzi..usiku mwema Bado nakupenda mwenzako
Mpenzi, usik wa leo uwe tulivu juu yako. Uwote ndoto nzuri inayolingana na uzuri walk. Usihisi upweke Mimi nipo Kari yako. Usijione mnyonge Mimi nipo kando yako. Sitaki uteseke mpenzi nitafanya lolote kwa ajili yako. Kikubwa tukuze upendo, Daima nitakua wako.
Ulale, salam mpemzi..wangu:
#Uck_MWe ma!
إرسال تعليق